Minggu, 10 Mei 2009

Huu ndio mwisho wa Dunia?

| 10.05.2009 | 14:00 UTC

Homa ya nguruwe yawashika karibu watu 3500

Na mwandishi wa THE THOMCOM Washington:


Maafisa wa idara ya afya wa Marekani wamethibitisha homa ya nguruwe imegharimu maisha ya mtu wa watatu katika jimbo la Washington.Mhanga huyo,bwana mmoja mwenye umri wa miaka 30,amefariki dunia wiki iliyopita kutokana na kile kinachotajwa kua" kuzidi utata virusi vya homa ya H1N1.Idadi ya watu walioambukizwa na homa ya nguruwe nchini Marekani imezidi takriban mara dufu ,wakipindukia watu 1600.Maafisa wa afya wanachungutza kesai nyengine 800 za watu walioam,bukizwa maradhi hayo.Kwa mujibu wa shirika la afya la kimataifa WHO,watu karibu 3500 kutoka nchi 29 wameambukizwa virusi vya homas ya nguruwe hadi wakati huu.Zaidi ya 50 kati yao wamefariki,na wengi wao ni kutoka Mexico.Kuna kesi nyengine iliyoripotiwa ya mtu aliyefariki dunia kutokana na homa ya nguruwe nchini Costa Rica.Wakati huo huo,nchi nne ,Japan,Australia,Panama na Argentina zimeliarifu shirika la afya la kimataifa,homa ya nguruwe imeshaingia katika nchi hizo.Barani Ulaya Norway imetangaza kwa mara ya kwanza wakaazi wake wawili wameambukizwa.

Mechi za Simba na Yanga kuna nini ndani yake?

Kaduguda atoboa siri kubwa
Haruna Moshi 'Boban' wa Simba ambae imedaiwa yupo kwenye orodha mpya ya kocha wa Yanga, Dusan Kondic ingawa duru za ndani ya Simba zinadai kuwa ni ngumu mno mchezaji huyo kung'oka Msimbazi na kwenda Yanga kutokana na wadhamini na washauri wake wakubwa.
Na Michael Momburi


MWINA Kaduguda amedai kuwa hakuna kiongozi yoyote wa timu hizo ambae anapenda kusikia mechi ya watani ya jadi.

Katibu huyo mkuu wa kuchaguliwa wa Simba, alisema jijini Dar es Salaam kuwa licha ya kwamba viongozi hutamba hadharani lakini moyoni huumia sana.

"Mechi inayokutanisha Simba na Yanga hakuna kiongozi yoyote wa hizo timu anayeipanda, ni mechi ngumu sana na yenye mambo mazito," alidokeza Kaduguda.

"Kwanza gharama ni nyingi mno tofauti na watu wa kawaida wanavyofikiria, halafu kwa viongozi hatutulii, mpaka mkeo nyumbani anakuwa hana raha.

"Kwa mfano mimi muda wangu wa kulala kwa wiki ambayo tunafanya maandalizi ya hiyo mechi siwezi kulala chini ya saa 6 usiku.

"Hata nikilala lazima utasikia kiongozi fulani kakuamsha muda fulani kuashiria kwamba kuna mambo yakufanya au hata wazee, yaani ni mechi ngumu sana ambayo hakuna kiongozi wa timu yoyote kati ya hizo mbili anayeipenda."

Mshambuliaji wa Yanga, Boniface Ambani alitamka hivikaribuni kwamba anashangazwa jinsi viongozi wa Yanga walivyokuwa wakijiandaa na mechi dhidi ya Simba tofauti na Ligi ya Mabingwa Afrika.

Nani kasema Ukoloni umeisha Africa? Au nani anabisha kuwa bado Waafrica ni Watumwa? Ukiweka Mzungu basi mtakuwa matajiri.....

Jacob Zuma atangaza baraza la mawaziri

Trevor Manuel, aliwahi kuwa waziri wa fedha wa Afrika Kusini.
Bw Manuel anasifika kwa kuimarisha vyema uchumi wa Afrika Kusini.
Rais mpya wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amemtangaza Pravin Gordhan kuwa waziri mpya wa fedha wa nchi hiyo. Atapokea kiti kutoka kwa Trevor Manuel, ambaye sasa ametuliwa kusimamia mipango ya uchumi.

Bw Zuma ameahidi kukabiliana na mgogoro wa kiuchumi, umasikini uliokithiri na uhalifu unaoongezeka, lakini akasisitiza kuwa hatawapendelea wafuasi wake.

Bw Gordhan alikuwa akifanya kazi katika idara ya kodi na amesifiwa kwa kuimarisha mapato ya serikali.

Baraza la Mawaziri
Makamu wa rais: Kgalema Motlanthe
Tume ya Mipango: Trevor Manuel
Usimamizi na Tathmini: Collins Chabane
Fedha: Pravin Gordhan
Sheria: Jeff Radebe
Ulinzi: Lindiwe Sisulu
Afya: Aaron Motsoaledi
Mambo ya Nje: Maite Nkoana-Mashabane
Makazi: Tokyo Sexwale

Akiwa mkuu wa kitengo cha taifa cha mipango, Bw Manuel sasa atakuwa na majukumu ya kupanga mikakati na kusimamia uratibu wa shughuli za idara za serikali.

Bw Manuel amesifiwa kwa kuongoza vyema uchumi wa Afrika Kusini kwa miaka 13, anaondoka wakati uchumi unayumba kote duniani.

Aaron Motsoaledi amepewa jukumu la kusimamia wizara nyeti ya Afya. Atakuwa na jukumu la kuongoza mapambano dhidi ya maradhi ya HIV na UKIMWI nchini humo.

Madaraka

Bw Zuma alichaguliwa na bunge kuwa rais baada ya chama cha African National Congress kushinda uchaguzi mkuu mwezi Aprili. Aliapishwa siku ya Jumamosi kuchukua hatamu ya kuongoza taifa la Afrika Kusini kama rais mpya.

Kiongozi huyo alikula kiapo mbele ya wageni waalikwa 5,000 na wafuasi wa ANC waliokusanyika kwenye majengo ya Muungano (Union Buildings) katika sherehe hizo mjini Pretoria.

Jumat, 08 Mei 2009

Urusi kupeleka vifaa vingine angani may 16.

Russia to launch Proton rocket with telecoms satellite on May 16

The launch of a Proton-M rocket carrying the ProtoStar-2 telecoms satellite from the Baikonur space center in Kazakhstan has been scheduled for May 16, Russia's space agency Roscosmos said on Friday.

The launch will be carried out by International Launch Services Inc. ILS's controlling stake is owned by Russia's Khrunichev center, which develops and produces Proton and Angara carrier rockets.

ProtoStar Ltd is a private company incorporated in Bermuda, with U.S. operations based in San Francisco, California and Asian operations based in Singapore.

ProtoStar intends to operate an initial fleet of three geostationary satellites to provide direct broadcast services for Indonesia, India, Philippines and Taiwan.

Two satellites have been acquired, and the first satellite, the ProtoStar-1, was launched aboard an Ariane 5 carrier rocket in July last year.

The primary control system for ProtoStar-2 was installed in Indonesia and will be operated by Indovision, a local subscription-based direct broadcast satellite service.

Marekani yatuma mfano wa Homa ya nguruwe Russia ili ifanyiwe uchunguzi na kutengeneza chanjo...

Samples of the A/H1N1 swine flu virus have been delivered from the United States to Russia where scientists will conduct tests and develop a vaccine.

"Yes, the strain sample was sent yesterday from Atlanta...The plane must have arrived," a source in a medical institute involved in the research said.

A spokesman for the Epidemiology Central Research Institute said on Thursday that Russian scientists had developed tests to detect the A/H1N1 virus.

The head of Russia's Flu Research Institute, Oleg Kiselyov, said last week the scientists could create a vaccine to combat swine flu in three months.

The World Health Organization (WHO) said on Friday that there had been 2,371 confirmed A/H1N1 cases in 24 countries, with a death toll of 44.

In Mexico, the number of swine flu cases has been put at 1,112, with 42 dead. Two people have died in the United States, where officials confirmed 952 cases.

No swine flu cases have been reported in Russia.

URUS YATETA NA MAREKANI..MAMBO YAFUATAYO YAKISHUGHULIKIWA BASI URUSI NA MAREKANI ZITAKUWA MARAFIKI KAMA MAREKANI NA UK

Speaking in Washington, Russia’s Foreign Minister Sergey Lavrov spoke on a laundry list of issues in international politics, which Moscow considers very important for its interests.

At a Q&A session at the Carnegie Endowment for International Peace, the top diplomat spoke in detail about such problems as the row over the US missile defense system, the Iranian nuclear program, a peace settlement in Afghanistan, the reform of the international monetary system, and ways to ensure European security.

Read more

Iran and Missile Defence

I can only speak for the Russian Federation, not for the United States. And we have been presenting geometrical, ballistic and all sorts of other data to our American colleagues when the idea to have missile defense bases in Poland and Czech Republic first appeared, explaining to them that this would have nothing to do with Iranian potential threat but would have very immediate effect of the Russian strategic arsenals in the European part of the Russian Federation. So for us, to take the position that ‘let’s resolve Iranian nuclear issue, and missile defense in Europe would not take place’, I mean it’s a misnomer. We know that these missile defense bases are directly related to the Russian security. As for the Iranian nuclear issue, we continue to address it in its merits in the context of the group called five plus one, or three plus three which recently developed further its own proposals to Iran which were delivered to Iran by Javier Solana’s people and which Iran said it would consider. And if accepted we would be really getting closer to starting negotiations with Iran. We don’t have any confirmation of the Iranian nuclear program having military dimension but we want to be 100% sure that this is indeed the case that this program is entirely peaceful. And that’s why we strongly support IAA continued effort in Iran. We strongly urge Iran together with other countries to cooperate fully with IAA and to do extra steps so that all the issues which I want to clarify are clarified as soon as possible.

As for the potential missile risks from the southern direction as it were, President Putin in 2007 meeting with President Bush at Kennebunkport as I referred to in my introductory remarks, suggested a collective project which would begin with collective analysis of threats, collective meaning Russia, US and the Europeans working together, and which could be using the existing radar facilities in Russia and in Azerbaijan as it were, to monitor the situation in this region. Then whenever there is some dangerous developments it would always be possible to take collective measures not to allow this developments to materialize. Just couple of weeks ago we developed this proposal further in greater detail with some technical things added and transmitted this to our American colleagues for consideration. And I hope they would consider it in a constructive way. At least we discussed it today with Secretary Clinton, and she confirmed that the strategic review continues of the missile defense project, and that in the context of this review the proposal submitted by Russia would be taken into account. So as soon as this review is over we would be ready to resume our dialogue with the United States on this one.

As for S-300, yeah we touched upon this again in our discussions today. Whatever we sell to Iran or to any other country is not covered by any prohibitions internationally or nationally. In the Russian Federation we have one of the strictest export control legislation. And whatever we sell to Iran in particular is only of defensive nature. In spite of this, we always listen to concerns expressed to us regarding one or another aspect of our military and technical cooperation with one or another country. But as I said and I want to emphasize it, whatever we do in the area of military and technical cooperation with Iran is absolutely legal and, which is also very important, the weapons we sell to Iran have never been used against any one country. Speaking of arms sales, the weapons which had been sold to Georgia have been used to kill Russians, to kill civilians, including Russian peacekeepers who are serving under the international agreement signed by Georgia. And those weapons were sold to Georgia ignoring the continued warning which we have been making for the last two or three years, that to arm this particular regime would be really very dangerous.

Energy charter

Indeed we, and not only Prime Minister Putin in Davos and President Medvedev at Sakhalin have been raising these issues. We have been raising it at the top level for quite a number of years already starting probably from the what is called first gas crisis in early 2006. And we have been explaining why the Energy Charter is not going to work and why we are not going to be bound by it, which we formally said recently. If only because when the Energy Charter was signed by Russia there was a deal that there would be additional protocols to the Charter which would be negotiated including the transit protocol in the context of which we expected to resolve the issues which you’re addressing now. This never happened, and also a couple of other deals attached to Russian signature to the Energy Charter were not delivered in particular, by the European Union. And I have in mind the commitment of the European Union to resolve the issue of barriers on the way of the trade in the Russian nuclear energy services. This is still pending. So eventually, our position… Yes, when this crisis in early 2006 happened, EU suggested to have an early warning mechanism between Russia and the European Union. We said we would be ready and suggested that this mechanism should also include the transit countries. EU was not enthusiastic about this for whatever reason I don’t now. So the events of January this year made us absolutely convinced that we need something which would be working unlike the Energy Charter and the Treaty to the Energy Charter.

That’s why speaking in Helsinki last month, President Medvedev announced our new initiative which has since been circulated to all G20 members including of course all G8 members, the EU members, the CIS members, all the countries who are directly involved in this particular energy situation in all this Euro-Atlantic, Eurasian space, I would say. This is going to be discussed with our partners. The immediate occasion would be May 22 when Russia-EU summit takes place at the city of Khabarovsk. We discussed it also briefly with the European Union Troika, the Foreign Ministers level last week in Luxemburg. So I don’t know how all of our partners would react. They recognize the importance of finding a way out of situations which we experienced once again last January. But we don’t see anything else by way of new initiatives. We only keep hearing every year that we, Russia must ratify the Treaty to the Energy Charter. And it’s really not very intelligent way to proceed, because we have repeatedly explained why we would do not this and why this particular regime embodied in the Treaty to the Energy Charter is floored. So the offer on the table is to address in a comprehensive way the energy security issues of the producers, consumers and the transit countries, and not only as regards oil and gas but basically all other sources of energy including nuclear energy. We believe that given the failed experience of the past, including the experience of the commitments undertaken by all partners in relation to the signature of the Energy Charter Treaty, we must not take chances and we must address the energy security in all its aspects as actually was agreed by the G8 leaders when they assembled in St. Petersburg for the summit in 2006 and adopted a declaration laying down exactly those principles which we want now to codify.

Dealing with Afghanistan

You cannot resolve problems of Afghanistan by force alone, in spite of the fact that against terrorists force must be used, and that’s why after 9/11 the Security Council strongly endorsed the retaliation. The second conclusion is that you cannot resolve the problems related to the political system of Afghanistan by some smart schemes from outside. You cannot really build the scheme which would be based on one ethnic group alone, even if this ethnic group is the largest one. You cannot ignore other ethnic groups, so apart Pashtuns you have Tajiks, Uzbeks, Khazarians. And each of these regional groups has very close ethnic and historical cultural links with one or another neighbour of Afghanistan. So you also have to take into account this neighbourhood factor. And I referred in my introductory remarks that we welcome very much that the regional factor is very much highlighted in the new American approach. And you have to involve neighbours. An interesting example, not exactly related to Afghanistan, but how neighbours could play a helpful role. When in the early 90s last century there was a very bloody war in Tajikistan, a civil war in Tajikistan, it was through direct Russian and Iranian mediation working with different factions that eventually a peace deal was signed under the UN auspices.

So it is important that, apart from this new strategy on Afghanistan, President Obama sent a very strong message that he wants to have a direct dialogue on Iran in a comprehensive way. That’s the only way to proceed in this region. The Bush’s administration engaged Iran a couple of times but under the condition that they want to discuss only Iraq and they only want to discuss this by way of asking Iranians not to meddle, you know, with one part of Iraqi groups. And Iranians participated in these discussions. But this is a piecemeal approach. If you take the region of the Middle East broader, well, the Bush’s administration spoke of the Greater Middle East but this project never materialized in some strategic thinking which would embrace a comprehensive approach as far as Iran is concerned. Yes, Iran has influence in the region. Iran has influence in Iran; has always had influence on Afghanistan; now has influence in Gaza; in Lebanon it has good standing. In Gaza the Iranian influence increased because the West refused to accept the outcome of democratic elections three years ago when Hamas won. And we tried very much, UN tried to find some way to accept this outcome because it was a free and fair election. But the US and the European Union at that time said this was democratic but they would not recognize the government. That’s why we found Palestinians now in a split mode. So my answer would be: don’t rely on force alone; more emphasis on economic and social development, and this is also a part of the Obama strategy; involve neighbours to provide the setting for all ethnic groups in Afghanistan to feel engaged in building of their own country; respect the traditions, and the traditions are that Afghanistan never was a highly centralized state. And that’s I believe how consensus is emerging now. And hopefully this would be implemented.

Monetary system reform

What we mean under the reform of the international the monetary system, the answer if very simple. You take the final document of the London summit and translate it into further details and implement it. Why the current system is not satisfactory? Well I think the answer is obvious: because we don’t want to experience this type of crisis next time. Whether ruble is meant by us when we speak about regional reserve currency? The answer is yes. And I leave it to you to make comparisons between the Canadian dollars and the Yuan. There are various ways of promoting innovative schemes. For example, a small country like Belarus and big country like China agreed to swap their currencies at a certain amount to serve as bilateral trade. This in itself is a stabilizator. The Turks proposed to us to do the same between their currency and the ruble. And of course in the context of creating a customs union between Russia, Belarus and Kazakhstan, in the context of relationship between Russia and Belarus, we not only speak more and more about using our currencies and using ruble as a reserve currencies but we promote practical steps in this direction.

So I think without stronger regional pillars of international monetary system which would still be, you know, headed by the IMF and the World Bank, it would not be very easy to avoid similar crisis in the future. And the experience of Euro for example, the growing growl of Yuan, Yen, and you know, projects being discussed in the context of Asian courtiers and South-East Asia of developing a common exchange currency. The projects of similar nature are in very practical terms considered in Latin America and in the Persian Gulf by the way. So it’s the trend which must be embraced, and used not to just oppose IMF vis-à-vis everyone else but to harmonize the role of the IMF and inevitable prospects of multipolarity in the financial and economic area.

Nagorno-Karabakh status

If the two Presidents agreed of course it’s going to bring peace and stability to the region. And Kouchner has been working very hard. This is the conflict on which there are no geopolitical games. US, Russia, Europe in the person of France through Kouchner, they all work in unison. And actually, the basic principles of the settlement have been transmitted to Armenia and Azerbaijan in the fall of 2007. And they met in Madrid, and those basic principles remained on the table. They have been accepted by both countries with certain caveats related to 3 or 4 issues which are still to be finally agreed. And the purpose of the current stage in negotiating process is to close the positions on these issues. I haven’t obviously seen the report as to what specifically was achieved by way of progress. But I hope that this momentum which has been reached after the meeting last November in Moscow, now in Prague. And both Armenian and Azerbaijan Presidents accepted the invitation to come to St. Petersburg economic forum in the margins of which they would have an opportunity to have another meeting if they so wish. I believe this momentum is encouraging and we keep our fingers crossed, of course, but it’s a quiet process. It’s not possible to discuss details of the two Presidents discuss. But we are generally optimistic about the possibility of progress and achieving an agreement soon.

Security for Europe

I alluded to it in my initial remarks. The problem is that we have a lot of principles endorsed in the context of all European cooperation under OSCE, under Russia-NATO council and other formats. And these principles do not ensure security in this region. They could not prevent the bombing of Yugoslavia in 1999 including the bombing of media outlets, TV stations, even hitting an embassy in the process. These principles and mechanisms existing in security area in Europe could not prevent what happened last August in the Caucasus in spite of the fact that we have been repeatedly calling a couple of years before that crisis, calling for a non-use of force document to be signed. We were given cold shoulder and only told by our American colleagues that Saakashvili would never use force; if he uses force he could forget about NATO. That was the phrase which, well let’s be transparent, which Doctor Rice used in the conversation with me. Then, when it happened I reminded her about this and said, Condy, now he did use force, what about him forgetting about NATO? There was no answer.

So, the current system is based on collective security principle inside NATO. The Organization of Collective Security Treaty is also an organization based legally on the principle of collective security. And there is no other legally binding organization which would be of the universal nature as far as the Euro-Atlantic region is concerned. And the key principle which we want to become really universal is the principle of the indivisibility of security. Russia-NATO Council founding documents say that no country should ensure its security at the expense of security of others. And when we speak about applying this principle, for example, to NATO expansion in spite of all the commitments not to do so at the end of the Soviet Union when we were withdrawing from Eastern Europe we were promised that NATO would not be expanded. And we have recently declassified those discussions including some of the secretaries, former secretaries of state and presidents who were saying this to us. So when we say that, you know, we feel insecure when you expand NATO and when you put military bases around our borders while we all committed, well, while NATO committed itself not to put any substantial combat forces on the territory of new members. We find a cold shoulder. We are told: no-no, this is not against you. Then we present some arguments that this was the commitment which is being violated; the answer is, it is not against you. Missile defense plans. We presented calculations showing how this would disturb the strategic balance, scientific and practical calculations; the answer is, this is not against you.

So, what President Medvedev suggested is, first of all we are not asking for any new principles to be invented. We want all the existing principles, first of all, the principle of indivisibility of security, to be made legally binding by all Euro-Atlantic states and also all organizations in this Euro-Atlantic space, organizations which have anything to do with security: NATO, European Union, CIS, Collective Security Treaty Organization. And also to agree that we would not have double standards in resolving conflicts; that we would all be basing ourselves when resolving conflicts, on the principles which are very well known. The principles of the UN charter, the principles of OSCE including territorial integrity, including the need to respect the agreements reached between the parties in conflict, including the need for the parties themselves to agree, like what is going on in the case of Nagorno-Karabakh so that no one can impose the solution, but the parties themselves must reach an agreement which would be acceptable to both of them. Humanitarian needs of the conflict areas, this type of things. And also I think this Euro-Atlantic security summit which President Medvedev suggested to convene to agree on avenues of the walk on a new treaty should also address the conventional arms which are really being neglected since the time of NATO refusing to ratify adapted CFE Treaty. So it is not to substitute for anyone but rather to make sure that there is a unified legal space where everyone feels comfortable in the area of hard security in Euro-Atlantic area.

CIS states: influence

There is a competition, there are interests which are legitimate, and we recognize these interests of non-regional countries energy-wise, also from the point of view of transit roads, terrorism, drug threat. So, many countries including Europe, the United States, China, others have their interest in this region. The only thing we want is, if it is the time of no monopoly and fair competition, let this competition be really fair. Let the means of promoting this legitimate interest be also legitimate. Let’s not have some covert contacts telling these countries, you must decide either you are still a colony of Moscow or you want to be with the free world. And these examples are… you know, secrets do not hold these days. Everyone knows everything what’s been told about one or another person or a country. As far as Russian doctrine is concerned, yes, we clearly state that CIS countries are our privileged partners. But the fact of the matter is that Russia for them is also a privileged partner. Why? Because families live on both parts of the border. Because the infrastructure, transportation, social, economic and otherwise is so much common that you really cannot build a wall and forget about your neighbours. Culturally, historically, family wise we lived together for centuries and centuries, and it’s just only natural that they are our privileged partners. And it’s only natural that we are their privileged partners, not to mention new aspects of this partnership being for example migrant labours. By the way, when President Medvedev first mentioned this term, ‘privileged partnership’, the noise which you know immediately was raised surprisingly deeply. For the first time this term, privileged partnership was used some, I think, 35 years ago to describe relations between the Soviet Union and France. No one raised any hell at that time.

Masista du hamna shobo. Uzuri pembeni...AT THE WORLDS END....Sasa watu tutatembea hivi barabarani

Homa ya nguruwe yahanikiza

Kiwewe hakisaidii kitu wanaonya wataalam

Kuachishwa kazi kocha wa timu ya Bayern Munich Klinsmann na mjadala kuhusu kiwango cha siku za mbele cha malipo ya uzeeni ndizo mada zilizochambuliwa zaidi na wahariri wa magazeti ya Ujerumani hii leo.Lakini kwanza wamejishughulisha na homa ya nguruwe.Na gazeti la DIE WELT linaandika:

Baada ya kuihama nchi yao ya asili na kuingia Marekani,hiivi sasa wameshaingia Ulaya na pengine wameshafika Ujerumani.Jee virusi hivyo vya aina mpya vinavyokiuka bahari vimechukua sura mpya?Kwanza tunabidi tuseme hilo si jambo la ajabu.Kila wakati ambapo maradhi yatakua yanaenezwa na watu wanaotembela nchi moja hadi nyengine,itafika wakati tuu yatatoka bara moja na kuingia katika jengine.Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa,hakuna bado barani Ulaya kisa cha mtu aliyeambukizwa homa ya nguruwe na binaadam mwenzake.Hakuna kwa hivyo haja ya kuingiwa na wasi wasi,wanasema wataalam.Lakini nasaha yao haisaidii kitu kwasababu hofu na wasi wasi vimeshazagaa."

"Hatari isiyokadirika" ndio kichwa cha maneno cha ripoti ya gazeti la SÜDDEUTSCHE ZEITUNG linaloandika:

Kufumba na kufumbua watu wanazungumzia juu ya maradhi ya kuambukiza yanayotishia kuenea kote ulimwenguni.Picha za watu waliofunga vitambaa katika sehemu ya puwa na mdomo,shule zilizofungwa na vituo vya maonyesho,zinabainisha wazi kabisa kwamba hofu zimezagaa hata kabla ya virusi kuenea.Chanzo chake ni maradhi hayo ya kuambukiza.Kwasababu kama vile virusi vinavyotapakaa haraka ndivyo nazo ripoti zinavyoenea kwa kasi katika kila pembe ya dunia-na kuna ripoti za kuaminika sawa na nyenginezo ambazo ni za kuchochea kiwewe.Inawezekana kuiona homa ya nguruwe ikitoweka muda mfupi tuu kutoka sasa.Hakuna mtaalam yeyote anaeweza kuashiria janga hili litakua la aina gani.Pengine likagharimu maisha ya watu wa mabara yote na kuonyesha jinsi ulimwengu uliogeuka kua pua na mdomo unavyoweza kuathirika licha ya maendeleo yote ya kitabibu yaliyoko."

Gazeti la SÄCHSISCHE ZEITUNG linazungumzia kauli ya waziri wa ajira na huduma za jamii Olaf Scholz aliyesema malipo ya uzeeni hayatapunguzwa mwakani.Gazeti linaendelea kuandika:

"Hakuna serikali yoyote itakayosubutu kuwatumia watu milioni 20 wanaolipwa pensheni, kua mada ya kupigiwa upatu katika kampeni ya uchaguzi.Kile ambacho Scholz hajakifichua lakini ni jee malipo ya uzeeni yatapatikanaje ikiwa fedha wanazochangia waajiriwa katika bima ya jamii,zitakua haba kuliko ilivyotarajiwa?Ndio maana malipo ya uzeeni haya uhakika-kinyume na asemavyo Olaf Scholz.

Gazeti la WESTDEUTSCHE ALLGEMEINE ZEITUNG ni miongoni mwa magazeti yaliyoandika kuhusu hatima ya kocha wa timu ya Bayern Munich Jürgen Klinsmann.Gazeti linahisi ukosefu wa magoli sio sababu pekee!Gazeti linaendelea:

"Kabumbu ni sawa na ulimwengu wa kihafidhina ambapo kocha anatajikana kua professor eti kwasababu anavaa miwani.Na Klinsmann alikua na ruya.Kansela wa zamani Helmut Schmidt aliwahi kusema,mwenye ruya anabidi ende kwa daktari wa macho.Mfuasi huyo wa imani ya Budhha alikua akivumiliwa kila ushindi unapopatikana.Lakini suala linalojitokeza ni jee,Klinsmann mwenyewe hana hatia?Jibu ni la.Makosa yake yanapindukia kila ripoti ya mchezo."

Kamis, 07 Mei 2009

Wanasayansi wa Urusi wako mbioni kuchunguza kama SWINE FLU imewasili Moscow

Russian scientists have developed tests to detect the A/H1N1 virus, commonly known as swine flu, a department head at the Epidemiology Central Research Institute said Thursday.

"Yes, they are ready, but these are yet experimental specimens," said German Shipulin, the head of the institute's molecular diagnostics department. He added that state tests need to be conducted as soon as possible.

The World Health Organization (WHO) said that as of 06:00 GMT Thursday, there had been 2,099 confirmed swine flu cases in 23 countries, with a death toll of 44.

But some countries reported higher figures later in the day, with Mexico putting the number of A/H1N1 cases at 1,204, with 44 dead, and the United States reporting two deaths and 896 confirmed cases.

Keiji Fukuda, interim assistant director-general of the WHO, told AFP Thursday that in the event of a pandemic, a third of the Earth's population could be infected with the virus.

The WHO has said there is no risk of infection from the consumption of well-cooked pork and pork products.

‘Either you hold a referendum, or we’ll hold one for you’ – Georgian opposition

The Georgian opposition has presented President Saakashvili with an ultimatum: either he declares a referendum on a snap presidential election within ten days – or they will hold one themselves.

On Monday Georgia’s former UN Ambassador Irakly Alasania, who quit his post shortly after the five-day Georgia-South Ossetia war, has announced that a new political movement ‘Alliance for Georgia’ has been set up.

It unites Alasania’s team with other opposition groups – the New Rights party (leader David Gamkrelidze) and the Republican party (leader David Usupashvili).

“The alliance has been created as a strong alternative to the existing authority. Having wide support from the society, it will replace Saakashvili and his regime,” Russian news website Gazeta.ru quotes Alasania as saying.

Alasania has reminded that the referendum is a constitutional right of the country’s citizens and added his team will use all possible means, including international monitoring, not to let falsify the results of the referendum.

Selasa, 05 Mei 2009

Mengi ajibu hoja live. mambo ya ufisadi na Juhudi za Reginald Mengi kupambana na Ufisadi huo....Hali ni mbaya....

PART ONE


PART TWO


PART THREE


PART FOUR

Russia refuses participation in Russia-NATO meeting






Russia will not participate in an upcoming NATO-Russia meeting in light of the expulsion of two Russian envoys to NATO in Brussels.
A Russia-NATO council meeting was scheduled for May 19 in which Russian Foregin Minister Sergey Lavrov was supposed to take part. However, Russian representative to NATO, Dmitry Rogozin, has said that Russia does not plan to take part in it.

“I have to announce that the Russia-NATO council meeting will not take place,” said Rogozin.

Russia kuandaa kombe la Dunia mwaka 2018?

Putin orders sports minister to prepare bid for 2018 World Cup

MOSCOW, May 5 (RIA Novosti) - Russian Prime Minister Vladimir Putin ordered on Tuesday the country's sports minister to ready Russia's proposal for the right to host the 2018 World Cup.

At a meeting in Moscow, Putin told Vitaly Mutko to "prepare a bid for Russia to hold the 2018 World Cup."

Mutko, who earlier told RIA Novosti that a final decision on the bid would be taken in September, said that 10 cities with suitable infrastructure would be necessary to hold the tournament. He also said a successful bid would boost the Russian tourist industry.

"A bid to hold the World Cup is not a simple decision for the sports ministry or for the government as there are certain financial problems. But we need to look ahead. Crises come and go, but football remains," he said in April.

The 2018 World Cup is likely to be awarded to a European nation, as the 2010 World Cup is to be held in South Africa and the 2014 competition in Brazil.

According to a report earlier submitted by Mutko, who is also the head of Russian football's governing body, the country is ready to spend some $10 billion on the tournament.

Five World Cup-level stadiums, according to Mutko's report, will be ready by 2013 - two in Moscow and one apiece in St. Petersburg, Kazan and Sochi, due to host the 2014 Winter Olympics.

In addition to Russia, Australia, Belgium and the Netherlands, England, Indonesia, Japan, Mexico, Spain and Portugal, and the United States have submitted applications to hold both the 2018 and the 2022 competitions, while South Korea and Qatar have applied for just the 2022 World Cup, FIFA said in March.

Russia's main rival for the right to hold the 2018 competition is likely to be England, which has not hosted the World Cup since 1966. Russia's bid may have been damaged by problems encountered by Euro 2012 joint hosts Poland and Ukraine in their preparations for the competition. Euro 2012 is the first time a major soccer tournament has been awarded to Eastern European nations.

The host countries for the 2018 and 2022 World Cups will be announced by FIFA in December 2010. Under FIFA's new rotation rules, the same continent cannot host consecutive World Cups, meaning that if England were awarded the 2018 tournament then Russia would not be eligible for the 2022 finals.

Russia kutengeneza baharini kinu cha kwanza cha nyuklia duniani kwa ajili ya kusambaza umeme kwa mataifa yanayoendelea.

Na Mwandishi wetu

Russia to install 4 floating nuclear plants in northeast Siberia

12:32

YAKUTSK, March 11 (RIA Novosti) - Four floating nuclear power plants will be installed in the northeastern Siberian republic of Yakutia under an agreement between the Federal Nuclear Power Agency and the local administration, local authorities said on Wednesday.

"The implementation of this project will make it possible to considerably reduce outlays on the delivery of fuel for the existing energy supply system, and raise the quality and reliability of energy provision, taking into account industrial development in northern Yakutia," the republic's presidential administration said.

The floating nuclear plants to be installed in four districts of Yakutia are intended to be put into service in 2013-2015, the administration said.

Investment in the project at the current stage is estimated at over 30 billion rubles ($838 million). Options are also being considered to involve private investors, the administration said.


First floating nuclear power plant to come into service in 2011

20:46 | 27/ 09/ 2007

MOSCOW, September 27 (RIA Novosti) - The world's first floating nuclear power plant will be commissioned in 2011 in Russia's Arctic, the governor of the Arkhangelsk Region said Thursday.

"The construction of the first such power unit with 70 MW capacity was started this year, and should be completed by 2010. The plant is most likely to operate in Severodvinsk [in Russia's Arkhangelsk Region]. Its launch is planned for 2011," Nikolai Kiselyov said.

"A floating NPP is a new product on the global market, and I hope it will be in demand," he said.

Russia started building the plant at the Arctic port of Severodvinsk in April, and is expected to build another six NPPs of its kind within a decade.

Earlier a Russian nuclear official said over 20 countries were interested in buying Russia's floating nuclear power plants. The NPPs are expected to be widely used in remote regions with power shortfalls, and also in the implementation of projects requiring stand-alone and uninterrupted electricity supplies in the absence of a developed power grid.

The second floating NPP could be built near the Russky Island in the Primorye Territory in Russia's Far East in 2011. The region may host an Asian-Pacific Economic Cooperation summit in August 2012. If Vladivostok does not host the summit, the NPP could be placed in Peveka, in the remote northeastern Chukotka Autonomous Area.

The first floating nuclear power plant will have capacity of 70 MW of electricity, and about 300 MW of thermal power.

The cost of the first plant is estimated at 10 billion rubles ($400 million), but could later be reduced to 6 billion rubles ($240 million).

Minggu, 03 Mei 2009

Ze kadiiiiiiiiiiz za CCM ...film rasmi inapatikana

tuma e-mail yako kupitia ccmmoscow@gmail.com nawe utatumia film rasmi ya siku ya ugawaji wa kadi tawi la Chama Cha Mapinduzi Moscow Russia

Tangazo

wanafunzi wafuatao wako hatarini kufukuzwa shule wiki hii kutokana na kutolipa ada ya Pango mwaka unaoelekea ukingoni. Taarifa zilizoifikia THE HOMCOM zinaonesha kuwa tayari PRIKAZI (vigavori) zimeshaandikwa na zinasuburia saini ya Msaidizi wa mkuu wa Chuo ambapo inatarajiwa kuwa zitasainiwa katikati ya wiki hii. THE THOMCOM inapenda kufahamisha kuwa ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza, ni vizuri wanafunzi hao wafanye maarifa yoyote ya kupata fedha hizo ili wakalipe angalau mwanzoni mwa wiki hii.

Orodha ya wanafunzi walio hatarini kufukuzwa chuo hii hapa...

Блок

Группа

Кв. №

Ф.И.О

Курс

С/б №

Долг

1

ФС

109

М.П.М.С

0

1032084271

03,03,2009 - 15,09,2009

2

МЛ

210

Л.Ю.А

0

1032084528

15,10,2008 - 15,09,2009

2

ЭМ

453

Н.М.М.

0

1032084527

15,10,2008 - 15,09,2009

5

БТ

156

Н.Е.Н.

0

1032084515

15,10,2008 - 15,09,2009

5

БТ

166

П.Р.Ф.

0

1032084548

15,10,2009 - 15,09,2009

7

МЛ

118

М.К.Б.

0

1032084552

15,10,2008 - 15,09,2009

7

МЛ

118

М.А.Х.

0

1032084558

05,04,2009 - 15,09,2009

7

НК

356

Б.Д

1

1032055347

15,10,2008 - 15,09,2009

8

ИС

562

М.Б.

0

1032084566

15,10,2008 - 15,09,2009

9

ИА

1114

У.Д.Э

3

1032054490

01,03,2009 - 15,09,2009

10

ЭЭ

402

Н.П.Э

1

1032054457

15,10,2008 - 15,09,2009

11

ГМ

1101

З.С.Ж

0

1032084725

15,10,2008 - 15,09,2009

11

ГП

1604

Ч.С.С.

6

1032025008

26,03,2009 - 15,09,2009

13

МЛ

80

К.Р.М

0

1032084619

15,10,2008 - 15,09,2009

Sabtu, 02 Mei 2009

Yaliyojiri wiki hii.........

Mwana FM hoyeeeeeeee....no! mwana FA

siku sita zilizopita tumeshuhudia tukio ambalo halikutegemewa kwa msanii maarufu kabisa kusaini kitabu cha kumbukumbu kwa kuwaburudisha watanzania waishio Moscow Russia. Msanii huyo si mwingine bali niMwana FA, mwimbaji wa nyimbo zijulikanazo kama Bongo Fleva ambaye kwa sasa yupo masomoni UK. Tukio hilo limepata kugusa nyoyo za watanzania wengiwaishio Moscow Russia hasa wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha Urafiki Lumumba. baada ya Blog ya jamii THE THOMCOM kunasa matukio mbalimbali yanayoonesha ni jinsi gani mashabiki wa Mziki wa Bongo fleva hata wale wasio mashabiki walivyofurahishwa na jinsi msanii huyo alivyo-fanya mambo yake jukwaani hasa alipoimba ule wimbo wake unaosikika ka ' .......mbona miguu iko wazi unan.........basi mashabiki wooote waliinua mikono juu na kushangilia kwa hamasa na msisimko kama inavyoonekana kwenye picha hapa..

hapa mwana FA akiwa ndo kaanza tuu show yake mida ya saa nane usiku ambapo mashabiki wengi tayari wako stim, aliwanyanyua mashabiki hao mara tuu alipopanda jukwaani

Shukrani...


waandaaji wa show hiyo wanawashukuru watanzia woooote kwa jinsi walivyojitokeza na kumuunga mkono mchizi wao na wanaahidi kuendeleza juhudi zao kuhakikisha kuwa watanzaia wanapata burudani Moscow Russia