AMRI KUMI ZA MUNGU
Leo ni ijumaa kuu. nimeamka na nimeona ni afadhali nimkumbuke mungu kwa kuzikumbuka hizi amri.1. Mimi ndiye Bwana Mungu wako. Usiabudu miungu mingine ila mimi.
2. Usiape/Usilitaje bure jina la BWANA , Mungu wako.
3. Ishike kitakatifu siku ya Mungu na uitakase
4. Waheshimu baba yako na mama yako upate heri na miaka mingi duniani
5. Usiue
6. Usizini
7. Usiibe
8. Usiseme uongo wala Usimshuhudie jirani yako uongo
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako
10. Usitamani mali ya mtu mwingine
Je? Kwa mtazamo wako hizi amri zinatekelezwa?
Tidak ada komentar:
Posting Komentar