Selasa, 21 April 2009

Tanzania yawakilishwa vilivyo katika Maonesho ya 13 ya Africa chuo kikuu cha Urafiki Lumumba - Moscow Russia

Uongozi wa Umoja wa wanafunzi wa Tanzania Chuo kikuu Lumumba wakiwa katika maonesho hayo ya 13 ya wiki ya Africa. Anayetoa huduma ni Mwenyekiti wa Umoja wa wanafunzi.
Balozi wa Tanzania Capt. Mstaafu Jaka Mwambi (katikati) akiwa mmoja wa washiriki wa maonesho ya 13 ya wiki ya Africa yaliyofanyika katika kumbi za ndani za Chuo kikuu cha Urafiki Lumumba Moscow Russia

Mojawapo ya banda la washiriki wakiwa wamevutiwa sana na twiga wa kitanzania..

Tidak ada komentar:

Posting Komentar