Kamis, 02 April 2009

HIZI JALI ZA BONGO NAZO MIYEYUSHO...

Image Baadhi ya wakazi wa Chalinze Mkoa wa Pwani wakiangalia tela lenye namba za usajili T 387 AHT lililokuwa kwenye gari lenye namba za usajili T 294 AHU ambapo lilikatika na kuacha njia na kuingia katika nyumba juzi. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo. na Jumanne Pinda

Tidak ada komentar:

Posting Komentar