Sabtu, 13 Juni 2009

Dar hapatoshi...

Usiku wa kuamkia leo, Wilaya ya Temeke imekamilisha mashindano ya kumtafuta mrembo wake, ngazi ya vitongoji. Kinyang’anyiro cha mwisho kilifanyika ukumbi wa TCC Chango’mbe jijini Dar es Salaam. Washindi wavitongoji hivyo ndio watashiriki Mashindano ya Miss Temeke baadaye mwaka huu.

Mshindi wa tatu katika kinyang'anyiro hicho, Sara Steven, akipita jukwaani na kivazi cha ufukweni




Baada ya kila mmoja kuonesha maujuzi ya kumpiku mwenzake, hatimaye hii ndiyo ilikuwa tano bora. kutoka kushoto ni Herrieth Kibambe, Sia Ndaskoi, Ummy Ally Fatuma Yassin na Sara Steven.


Mtoto asiyependa mkorogo, Friliana Morris alipita jukwaani kwa bashasha ya aina yake

Naye Saida Juma, hivi ndivyo alivyopita jukwaani lakini bahati haikuwa yake.





Tidak ada komentar:

Posting Komentar