Minggu, 14 Juni 2009

WAKUU, MNAONAJE HAPO!!!

Ukiwa USA lazima ucheze basketiball hata kama hujui inabidi ujitutumue maana masela hawatakuelewa especially ukiwa Nigro…Du! Ngumu kichizi kuushika tuu mpira ilikuwa shughuli…kama mnavyoona wadau…. Kama unafikiria kuja huku inabidi uanze kula tizi, maji yasije kukufika shingoni….ilikuwa nyepesi nyepesi tuu….

Comment hapa


Tidak ada komentar:

Posting Komentar