Selasa, 21 April 2009

Tanzania yawakilishwa vilivyo katika Maonesho ya 13 ya Africa chuo kikuu cha Urafiki Lumumba - Moscow Russia


Picha ikimwonesha mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Mr. Deodatus Kato (anayeonekana kwa mbali) akishiriki conference wakati wa maonesho ya 13 ya wiki ya Africa yaliyofanyika Moscow Russia

Sabtu, 18 April 2009

Marekani na Venezuela waanza enzi mpya

Handout picture released by the Venezuelan Presidency press office showing the President of the US, Barack Obama (L), and his Venezuelan counterpart Hugo Chavez (R) chatting before the opening of the 5th Summit of the Americas in Port of Spain. A Summit of the Americas marking US President Barack Obama's debut in front of Latin American leaders began Friday in Trinidad and Tobago.

U.S. President Barack Obama greets his Venezuela counterpart Hugo Chavez before the opening ceremony of the 5th Summit of the Americas in Port of Spain April 17, 2009.

Mwandishi wa Marekani afungwa miaka 8 huko IRAN kwa kosa la ushushushu

TEHRAN, Iran – An American journalist jailed in Iran has been convicted of spying and sentenced to eight years in prison, her lawyer said Saturday, dashing any hopes for her quick release.

The verdict was the first time Iran has found an American journalist guilty of spying, and it was unclear how the conviction would affect recent overtures by the Obama administration for better relations and engagement with Washington's longtime adversary.

Roxana Saberi, a 31-year-old dual American-Iranian citizen, was arrested in late January and initially accused of working without press credentials. But earlier this month, an Iranian judge leveled a far more serious allegation, charging her with spying for the United States.

She appeared before an Iranian court behind closed doors on Monday in an unusually swift one-day trial. The Fargo, North Dakota native had been living in Iran for six years and had worked as a freelance reporter for several news organizations including National Public Radio and the British Broadcasting Corp.

"Saberi has been sentenced to eight years in jail. I'll definitely appeal the verdict," lawyer Abdolsamad Khorramshahi told The Associated Press. It was not immediately known when she was convicted.

The United States has called the charges against Saberi baseless and has demanded her release, and the conviction and prison sentence could put strains on efforts to improve ties.

President Barack Obama has said it wants to engage Iran in talks on its nuclear program and other issues — a departure from the tough talk of the Bush administration.

Jumat, 17 April 2009

THE THOMCOM INAONYA KUWA KAMA WANAFUNZI WAFUATAO HAWATALIPA ADA ZA PANGO NDANI YA WIKI MOJA, MAJINA YAO YATAANIKWA HADHARANI. NI AIBU KUBWA KWA TZ.

WANAFUNZI WAFUATAO WANAOMBWA KULIPA AU KUMALIZIA MALIPO YA HOSTEL KAMA ILIVYOONESHWA HARAKA IWEZEKANAVYO. MAJINA YAO YAMEHIFADHIWA ..

Блок

Группа

Курс

С/б №

Долг

2

МЛ

0

1032084528

03,03,2009 - 15,09,2009

2

ЭМ

0

1032084527

15,10,2008 - 15,09,2009

5

БТ

0

1032084515

15,10,2008 - 15,09,2009

5

БТ

0

1032084548

15,10,2008 - 15,09,2009

7

МЛ

0

1032084552

15,10,2009 - 15,09,2009

7

МЛ

0

1032084558

15,10,2008 - 15,09,2009

7

НК

1

1032055347

05,04,2009 - 15,09,2009

8

ИС

0

1032084566

15,10,2008 - 15,09,2009

9

ИА

3

1032054490

15,10,2008 - 15,09,2009

10

ЭЭ

1

1032054457

01,03,2009 - 15,09,2009

11

ГМ

0

1032084725

15,10,2008 - 15,09,2009

11

ГП

1032025008

15,10,2008 - 15,09,2009

13

МЛ

0

1032084619

26,03,2009 - 15,09,2009

Sabtu, 11 April 2009

Images of Frail Kim Jong Il Renew Talk of Succession

In a public appearance, the frailty of the 67-year-old dictator renewed talk about North Korea's future, with no clear succession policy in place.

Perhaps the world's most reclusive leader, Kim Jong Il appeared older, grayer and thinner as he limped his way into his first public appearance before a large audience in more than six months.

His arrival onstage dispelled questions about whether Kim has recovered from the stroke he is believed to have suffered last August -- he appeared alert and enjoyed full use of both arms, unlike in some of the undated footage broadcast in recent days by North Korea's state-run television.

Yet the frailty of the 67-year-old dictator renewed talk about North Korea's future, with no clear succession policy in place.

"That process should begin very soon -- otherwise, the country is in real danger of implosion once he's gone," said Bruce Bechtol, an international relations professor at the Marine Corps Command and Staff College.

On her tour of Asian capitals two months ago, Secretary of State Hillary Clinton stoked regional anxieties when she spoke, in unusually blunt terms, about the possibility of a new regime in Pyongyang.

"(Asian leaders) are confronting a lot of worries about what's up in North Korea, what the succession could be," Clinton told reporters aboard her plane. "I think our goal is to try to come up with a strategy that is effective in influencing the behavior of the North Koreans at a time when the whole leadership situation is somewhat unclear."

Clinton later denied her comments were provocative, saying "the open press is filled with such conversations. This is not some kind of a classified matter that is not being discussed in many circles."

Kim Jong Il inherited supreme power 15 years ago from his father, Kim Il Sung, the communist nation's founding ruler. That has created speculation that one of Kim's own three sons will take over when he is gone.

But the eldest, 37-year-old Kim Jong Nam, told reporters in Macau this week it won't be him.

The other two, Kim Jong Chul and Kim Jong Un, both in their 20s, did not run for parliament last month. Their father, by contrast, had assumed important positions in both the Communist Party and the military some 20 years before his ascension to power.

Bechtol described the unique hold on power Kim Jong Il had developed.

"In the army, none of the generals have a power base that they could actually control the country. In the party, none of those individuals actually have a power base that they can control the army. So what you need is someone like Kim himself, who actually has a power base both in the party and the army, like his father built for him," Bechtol said.

Clinton spokesman Gordon Duguid underscored the difficulties in tracking Kim and his inner circle.

"Who is actually taking decisions is very opaque as well. We don't have any direct contact on the ground and are not able to well judge what we hear coming out of North Korea," he said in February.

Iran yafanikiwa kutengeza nishati ya nuklia

Iran yafanikiwa kutengeza nishati ya nuklia

Rais Mahmoud Ahmedinejad na wanasayansi katika kituo cha Isfahan cha kutengeza nishati ya nuklia
Rais Mahmoud Ahmedinejad na wanasayansi katika kituo cha Isfahan cha kutengeza nishati ya nuklia

Iran imetangaza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo ya nuklia na mataifa ya magharibi ikiwemo Marekani chini ya misingi ya kuheshimiana na kujali haki na usawa.

Kauli hiyo imetolewa ikiwa ni siku moja baada ya Iran kutangaza kuwa imepiga hatua muhimu katika mpango wake wa nuklia unaozua utata.Marekani kwa upande wake imelishuku tangazo hilo lililotolewa katika ufunguzi wa kituo kimoja cha nuklia mjini Isfahan.Ikumbukwe kuwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa tayari limeiwekea Iran awamu tatu ya vikwazo baada ya kukaidi amri ya kusitisha mpango wake wa nuklia.


Ufunguzi wa kiwanda hicho cha kutengeza nishati ya nuklia unaashiria kuwa Iran imehitimisha mzunguko maalum wa nuklia unaoanzia katika uchimbaji wa madini ya uranium hadi urutubishaji wake.Katika ufunguzi rasmi wa kituo cha Isfahan Rais Mahmoud Ahmedinejad aliisifia hatua hiyo.

''Iran imeimarisha mpango wake wa nuklia na kupiga hatua mbili muhimu…mosi ni kutengeza nishati ya nuklia na pili ni kufanya majaribio ya aini mbili ya vinu vya nuklia vilivyo na uwezo mkubwa wa kurutubisha madini ya uranium.''



Kiwanda cha kurutubisha uranium cha Bushehr Kiwanda cha kurutubisha uranium cha Bushehr Wakati huohuo Rais Mahmoud Ahmedinejad alisisitiza kuwa nchi yake iko tayari kufanya majadiliano na mataifa ya magharibi kuhusu suala la nuklia.Kwa mujibu wa kiongozi wa Shirika la Nishati ya Atomiki nchini Iran Gholam-Reza Aqazadeh nchi hiyo imeongeza jumla ya vinu alfu moja vipya vya nuklia katika kiwanda chake cha Natanza cha kurutubisha madini ya uranium.Kwa sasa idadi kamili ya vinu vya nuklia nchini humo imefikia alfu 7.Kituo hicho kina uwezo wa kutengeza tani kumi za nishati ya nuklia itakayotumika katika vinu vya nuklia kama kile cha Bushehr.Kinu hicho sharti kitimize masharti ya kiteknolojia ya Kirusi kwasababu kilitengezwa na Urusi na itakayokisimamia katika awamu za mwanzo.

Itakumbukwa kuwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Atomiki IAEA liliripoti kwamba vinu hivyo alfu 7 vimezidi kwa 1500 kiwango ilichokitangaza majuma sita yaliyopita.

Kufuatia tamko hilo Marekani ilitangaza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran hususan katika suala la nuklia.Ifahamike kuwa hatua hii ni kinyume na ilivyokuwa wakati wa utawala wa George W Bush.Chini ya uongozi wa Rais Obama Marekani imebadili sera zake za kigeni na kuinyoshea mkono Iran.Kulingana na msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya Marekani Robert Wood ni jambo la msingi kujadiliana na Iran.


''Tuko tayari kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na serikali ya Iran.Kwahiyo kuna masuali mengi yanayogubika suala hili la mpango wa nuklia wa Iran ambayo yanahitaji kushughulikiwa.Ikiwa Iran itaweza kuchukua hatua hiyo bila shaka sote tutapata ahueni.''


Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Hilary Clinton Marekani imechukua uamuzi huo ili kuweza kuthibitisha iwapo madai hayo ya Iran ni ya kweli.Mataifa ya magharibi yamekuwa yakiilaumu Iran kutaka kutengeza silaha za nuklia dai inalokanusha.Iran kwa upande wake inashikilia kuwa lengo lake ni kutengeza nishati ya nuklia.Marekani inapanga kujiunga na kundi la mataifa manne wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Ujerumani katika majadiliano ya mpango wa nuklia ya Iran.



Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon kwa upande wake ameipongeza hatua hiyo ya Marekani na kutoa wito wa suluhu kupatikana haraka chini ya misingi ya Baraza la Usalama.Baraza hilo tayari limeshaiwekea Iran awamu tatu ya vikwazo baada ya kukaidi amri ya kusitisha mpango wake wa kurutubisha madini ya uranium.Rais Mahmoud Ahmedinejad wa Iran amesisitiza kuwa nchi yake haitaki kuendeleza uhasama.Wiki iliyopita Iran ilipokea kwa mikono miwili pendekezo la Rais Obama alipokuwa mjini Prague nchini Czech la kusitisha matumizi ya silaha za nuklia uliwenguni kadhalika kusimamisha majaribio ya nuklia.

Mkuu wa Sera za kigeni wa EU Javier Solana, (Kushoto) na msuluhishi wa Iran Saeed Jalili Mkuu wa Sera za kigeni wa EU Javier Solana, (Kushoto) na msuluhishi wa Iran Saeed Jalili Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Javier Solana anatazamiwa kuwasiliana na msuluhishi mkuu wa mzozo wa nuklia wa Iran Saaid Jalili kwa lengo la kuandaa mkutano ujao utakaojadili suala hilo.

DPAE/AFPE

Kamis, 09 April 2009

Amri kumi za mungu...

AMRI KUMI ZA MUNGU

Leo ni ijumaa kuu. nimeamka na nimeona ni afadhali nimkumbuke mungu kwa kuzikumbuka hizi amri.

1. Mimi ndiye Bwana Mungu wako. Usiabudu miungu mingine ila mimi.

2. Usiape/Usilitaje bure jina la BWANA , Mungu wako.

3. Ishike kitakatifu siku ya Mungu na uitakase

4. Waheshimu baba yako na mama yako upate heri na miaka mingi duniani

5. Usiue

6. Usizini

7. Usiibe

8. Usiseme uongo wala Usimshuhudie jirani yako uongo

9. Usitamani mwanamke asiye mke wako

10. Usitamani mali ya mtu mwingine

Je? Kwa mtazamo wako hizi amri zinatekelezwa?

Jumat, 03 April 2009

TAJI LA MISS RUDN 2009 APEWA MRUSI NA MSHINDI WA PILI NI KUTOKA LAOS

Ukrain yawaka moto ndani ya chambers


Ukraine’s opposition The Party of Regions has blockaded parliamentary work in an effort to force the government to launch new anti crisis programs or resign.

On Thursday morning Ukraine’s main opposition party, the Party of Regions, blocked the Supreme Rada – the country’s parliament – with chairs and swarmed the podium, stalling a vote on crisis measures necessary for a loan from the International Monetary Fund.

The Party leaders demand the government must urgently propose the anti crisis programme or resign. They also insist on amendments to the state budget 2009 to be made.


Na Asha maua

Kiev

........

Kamis, 02 April 2009

BONGO SASA KAMA MTONI....

KESI YA LIYUMBA KUFUTWA!
Jiji la Dar es Salaam hatimaye limeanza kupata sura ya kuvutia kufuatia majengo marefu ya kupendeza kama linavyoonekana pichani, jengo hili liitwalo Benjamin Mkapa, lililopo Barabara ya Maktaba, maeneo ya Posta jijini. Jengo hili linalinganishwa na majengo ya mamtoni.

Picha na Tedy Mwarabu

HIZI JALI ZA BONGO NAZO MIYEYUSHO...

Image Baadhi ya wakazi wa Chalinze Mkoa wa Pwani wakiangalia tela lenye namba za usajili T 387 AHT lililokuwa kwenye gari lenye namba za usajili T 294 AHU ambapo lilikatika na kuacha njia na kuingia katika nyumba juzi. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo. na Jumanne Pinda

MAMBO YA NDOA HAYOOOOO...

President Jakaya Kikwete and First Lady Salma Kikwete celebrate their 20th wedding anniversary during a family function at the State House on Monday. (Photo: Freddy Maro of State House)

waliomuua Luck Dude wafungwa maisha

Marehemu Lucky Dube
Waliomuua Lucky Dube wafungwa maisha
Jaji wa Afrika Kusini amewahukumu watu watatu kifungo cha maisha jela baada ya kuwatia hatiani kwa kumuua mwanamuziki maarufu wa reggae Lucky Dube mwaka 2007.

Lucky Dube aliyekuwa na umri wa miaka 43, alipigwa risasi na watu hao watatu katika jaribio la kumuibia gari lake katika kitongoji kimoja cha mjini Johannesburg, tukio lililoleta hofu kwa taifa hilo.

Jamaa wa Lucky Dube walitokwa machozi na baadae wakashangilia baada ya kutolewa hukumu hiyo.

Mwandishi wetu Anna Kibali akiwa nje ya mahakama kuu ya South Gauteng anasema wanamuziki pamoja na mashabiki walikusanyika nje ya mahakama hiyo kuonesha mshikamano wao.

Mahakama hiyo ilielezwa kuwa washtakiwa hao watatu, walifikiria mtu waliyekuwa wakimpora gari alikuwa raia wa Nigeria na kamwe hawakufahamu waliyemuua alikuwa Lucky Dube hadi waliposoma magazetini siku iliyofuatatu hao watatu.

Moja ya mabango nje ya mahakama hiyo kwa mujibu wa mwandishi wetu lilikuwa likisomeka "Lucky Dube hafanani na Mnigeria; bali yeye ni Mwafrika."

Mahakama hiyo pia imewahukumu Sifiso Mhlanga, Julius Gxowa, na Mbuti Mabe kifungo cha miaka 15 kila mmoja kwa kufanya jaribio la kupora gari la Lucky Dube.

Viongozi wa mataifa 20 tajiri pamoja na malikia Elisabeth wa pili wa Uengereza

Minggu, 29 Maret 2009

mtoto wa Idd Amin Bw Jaffar Amin................................ Mtoto wa Nyerere Bw Madaraka Nyerere
Wana wa Nyerere na Amin kukutana Butiama
Imeletwa kwenu na Mwamba mkwere

Madaraka Nyerere, mwana wa hayati Julius Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania.
Bw Madaraka Nyerere atakuwa Butiama kumsubiri mgeni Jaffar Amin atakayesafiri kutoka Arua.
Kuanzia Alhamisi ya tarehe 9 mwezi Aprili, Idhaa ya Kiswahili ya BBC itakuwa ikikuletea taarifa za historia kwa kuwakutanisha watoto wa viongozi wa nchi mbili za Afrika Mashariki ambao uhasama wao ulishuhudia vita kali mwishoni mwa miaka ya sabini - vita vya Kagera.

Katika tukio la kipekee litakalosimamiwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Jaffer Remo Amin, mwana wa kiume wa Idi Amin aliyekuwa rais wa Uganda, na Madaraka Nyerere, mwana wa kiume wa Mwalimu Julius Nyerere “Baba wa Taifa”, wamekubaliana kukutana kwa mara ya kwanza kabisa.

Ifikapo tarehe 10 Aprili, itakuwa imetimia miaka 30 tangu kung’olewa madarakani kwa Idi Amin wa Uganda, kutokana na mapambano makali, majeshi ya Tanzania chini ya rais wa wakati huo Mwalimu Julius Nyerere yakikamilisha kazi hiyo.

Uhusiano baina ya viongozi hao haukuwa mzuri kwa muda, mnamo Oktoba 1978 hali ilizidi kuwa mbaya wakati Idi Amin alipoishambulia Tanzania na kujitangazia kuumega mkoa wa Kagera ulioko kaskazini-magharibi mwa Tanzania.

Hatimaye, kiongozi huyo wa Uganda alilazimika kukimbilia uhamishoni, akianzia Libya na baadaye Saudi Arabia ambako aliishi maisha yake yote yaliyobakia kabla ya kuaga dunia Agosti 2003.

Matangazo
Kuanzia Jumatatu ya tarehe 6 mwezi April, katika maandalizi ya kumbukumbu ya mwaka wa 30, matangazo ya Amka na BBC yanayosikika saa kumi na mbili alfajiri na Dira ya Dunia kumi na mbili na nusu jioni [Afrika Mashariki], yatakuwa yakikumbushia historia ya matukio ya miongo mitatu iliyopita, kwa kuzungumza na wakongwe waliopigana na watu walioathirika kuelezea wanayoyakumbuka kuhusu vita vya mwaka 1979 kati ya Uganda na Tanzania.

BBC itawashirikisha wachambuzi hodari wa maswala ya kisiasa kutathmini athari zilizotokana na vita hivyo kwa nchi za Afrika Mashariki na bara zima la Afrika. Mada muhimu kwa muda wote wa matangazo yetu itakuwa kukutana kwa wana wa viongozi hao wawili, waliotawala katika siasa za eneo hilo.

Arua mpaka Butiama
Katika matangazo yetu, tutaanza Jumatatu ya tarehe 6 Aprili, kwa kuambatana na Jaffer Remo Amin kwenye msafara wake kutoka nyumbani kwake Arua kaskazini-magharibi mwa Uganda kwenye Butiama kaskazini-magharibi mwa Tanzania kuzuru alikozikwa Mwalimu Julius Nyerere.


Jaffar Amin
Akiwa Butiama, Bw Jaffar Amin atakutana na Madaraka Nyerere.

Kila hatua ya safari ya Jaffer, mwenye umri wa miaka 42, itanaswa na mwandishi Idd Seif wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, atakayesafiri naye mpaka kwenye makutano.

Butiama
Na Butiama kwenyewe, waandishi wengine wa BBC, Vicky Ntetema na Charles Hilary watakuwa wakifuatilia maandalizi ya Madaraka Nyerere, mwenye umri wa miaka 48, kabla ya mkutano wake na Jaffer Remo Amin.

Kwa kipindi chote cha msafara wa Amin kuelekea Butiama, BBC itarusha taarifa kuhusu mwitikio wa wananchi wakizungumzia mkutano huo wa watoto wa viongozi wa pande zilizokuwa zikihasimiana.

Mratibu wa mpango huo, Caroline Karobia, tayari amekuwa akifanya mahojiano na watu waliokuwepo nyakati hizo za miaka ya sabini.

Anasema: "Haijawahi kutokea Afrika Mashariki, kabla au baada kuona mapambano makali kama yale kwa majeshi ya nchi mbili, na miaka 30 baadaye kumbukumbu bado ni dhahiri miongoni mwa watu walioshuhudia vita. Idhaa ya Kiswahili ya BBC itarekodi kumbu kumbu hizi na pia kualika wasikilizaji wetu kutupia macho yatakayofuata siku za usoni."

Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Solomon Mugera, anaongeza: "Idi Amin and Julius Nyerere walikuwa maadui wakubwa. Tofauti zao ziligubika siasa za eneo zima kwa kipindi chote cha miaka ya sabini. Uongozi wao ulikuwa na athari kubwa kwa raia wao, na hiba isiyosahaulika. Katika kuchambua athari za vita kwa Tanzania, Uganda na eneo zima la Afrika Mashariki, Idhaa ya Kiswahili ya BBC imeratibu mkutano wa wana wa kiume wa mahasimu hao wawili. Tunatarajia kunasa kila lililo muhimu katika safari yao ya kihistoria."

Je una maoni yoyote kuhusu swala hili au vita vya Kagera kwa ujumla? Tuandikie barua pepe kupitia assenga@gmail.com


Sabtu, 28 Maret 2009

Ukraine Imeathirika.je kuna mkono wa Russia?. wataalaam wanaweza kusema ni ECONOMIC COLAPSE...Serikali yatakiwa kuachia ngazi..

Waandamanaji nchini Ukraine wadai serikali ijiuzulu.

Kiev.


Waandamanaji wanaoipinga serikali nchini Ukraine wamedai kujiuzulu kwa rais Viktor Yushchenko na waziri mkuu Yulia Tymoshenko.

Zaidi ya waandamanaji 3,000 walipita katika mitaa ya mji mkuu Kiev wakiimba kauli mbiu zinazoikosoa serikali kuhusiana na jinsi inavyolishughulikia suala la mzozo wa uchumi .

Maandamano zaidi pia yamefanywa katika miji katika nchi hiyo iliyokuwa jimbo la zamani la Urusi ya zamani.

Uchumi wa Ukraine umeathirika mno kutokana na mzozo wa kifedha, lakini raia wa nchi hiyo walijizuwia kuingia mitaani hadi mwezi huu.