Sabtu, 18 Juli 2009

INAWEZEKANA NI KWELI WANAFUNZI HUENDA VYUO KULINGANA NA HUU MCHANGANUO?

>>1. Maskini,waoga na washamba-SUA
> > 2. Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE
> > 3. Wenye akili chache,wavivu na matozi,masister> duu-CBE DAR
> > 4. Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza> kiakili-IFM
> > 5. Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-> TUMAINI UNIVERSITY
> > 6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na> Moshi-MUCCOBS
> > 7. Wapenda ofa duni za serikali-TIA
> > 8. Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO
> > 9. Mafundi-DIT,ST JOSEPH
> > 10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF> DODOMA
> > 11. Wasiojali future,watoto wa geti kali-SAUT
> > 12. wenye uwezo wa kipesa na> kiakili but walifeli form4-6-IAA
> > 13. Wanaosoma sana but silent-ST> JOHN,KCMC,BUGANDO
> > 14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY> ,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA
> > 15. Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE
> > 16. Wasiojali nchi mamluki-ABROAD
> > 17. Watu wa sifa zote hapo juu za> kila aina-UDSM
> > "Unayaona hayo mambo?

Tidak ada komentar:

Posting Komentar