Jumat, 26 Desember 2008

hatimaye wawasili home. wanaswa na The THOCOM wakirandaranda Manzese...

CHOKA MBAYA
Na: Mkali Mapunda, Dar es Salaam 26/12/2008
Wale waliokuwa wanafunzi wa chuo kikuu Lumumba na ambao walikuwawanajifanya kama Moscow yote ni ya kwao kwa kuonesha ubabe na ujeuri,wametimuliwa nchini Russia na tayari wameshawasili Dar es Ssalaam siku mbili zilizopita. Kamera yetu ya The THOMCOM imenasa baadhi ya mijamaa hiyo inayoonekana kutembe kwa v ikundi kama kuku wa kienyeji wakipigwa na jua kali katika stendi moja ya daladala maeneo ya manzese. Mwandishi wetu MKALI MAPUNDA aliyeko katika jiji hilo la Dar, aliyetuletea habari hii anasema kuwa wakorofi hao wanatumia mda wao mwingi kuwapigia watu mbambimbali wa v yamav ya upinzania. hali hiyo ya kutafuta wendawazimu wenzao toka v yama v ya upinzani imeonekana kutozaa matunda pale ambapo watu hao walikuwa wanafanya juhudi zote ili kuzuia maamuzi ya awali ya serikali. kutokana na habari zilizochapishwa kwenye magazeti ya nipashe na mwananchi, watu hao watatakiwa kulipa fedha zote walizotia kinywani wakati wakiuchezea uwanafunzi ughaibuni katika kipindi kisichozidi siku 90.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar