Sabtu, 13 Desember 2008

KATIKA KUHADHIMISHA SHEREHE ZA UHURU, VIJANA WAKABITHIWA TIKETI RASMI....

wanafunzi watano waliofutiwa udhamini na serikali wamekabidhiwa ticket zao ikiwa ni pamoja na barua rasmi za kuwataka kuondoka nchini haraka iwezekanavyo. kutokana na hotuba ya Mh. balozi ambayo itawekwa rasmi hapo baadaye, wanafunzi hao wamekiuka maadili na wamelidhalilisha taifa mbele ya mataifa yote. habari kamili italetwa kwenu na Juma Khasim wa The THOMCOM toka katika sherehe hizo hapo baadae.

Nikiripoti toka Shabalovskaya, mimi ni Peter Zakayo wa The THOMCOM

Tidak ada komentar:

Posting Komentar