Makamu wa Rais Dk. Shein akikabidhi Mwenge wa Uhuru |
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwenge wa Uhuru, kiongozi wa mbio za mwenge mwaka huu kitaifa Kheir Ahmada Mwawalo kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, baada ya kuuwasha rasmi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana. Kushoto ni Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Prof. Juma Kapuya. (Picha na Amour Nassor). |
Tidak ada komentar:
Posting Komentar