Ndoa ruksa wapenzi jinsia moja Sweden | ||||
Kanisa la kilutheri nchini Sweden lenye waumini wengi zaidi nchini humo limekubali kubariki ndoa za wapenzi wa jinsia moja kuanzia mwezi ujao. Asilimia 70 ya baraza kuu la kanisa hilo lilipigia kura kuunga mkono hatua hiyo. Kanisa la kilutheri limejiunga na imani nyingine chache duniani zinazokubaliana na ndoa za wapenzi wa jinsia moja. Serikali ya Sweden imepitisha sheria mpya kulinda wapenzi wa jinsia moja. Robo tatu ya raia wa Sweden ni waumini wa Lutheran, japo idadi ya wanaohudhuria ibada imepungua sana. |
Sabtu, 24 Oktober 2009
Sweeden Lutheran Church yaidhinisha ndoa za jinsia moja
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar