Jumat, 15 Mei 2009

Uchaguzi mwaka 2010

Umoja wa Mataifa hautoweza kusimamia uchaguzi Zanzibar

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema haitawezekana uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wa visiwa hivyo kusimamiwa na Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na kuwa hatua hiyo ni kwenda kinyume na katiba ya Zanzibar.

Tamko hilo limetolewa leo na Mkurugenzi wa Tume hiyo, Salim Kassim Ali, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar kuhusiana na matayarisho ya uchaguzi mdogo katika Jimbo la Magogoni unaotarajiwa kufanyika Mei 23 mwaka huu.

Mwandishi wetu mjini Zanzibar Salma Said ana ripoti zaidi.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar