Sabtu, 02 Mei 2009

Yaliyojiri wiki hii.........

Mwana FM hoyeeeeeeee....no! mwana FA

siku sita zilizopita tumeshuhudia tukio ambalo halikutegemewa kwa msanii maarufu kabisa kusaini kitabu cha kumbukumbu kwa kuwaburudisha watanzania waishio Moscow Russia. Msanii huyo si mwingine bali niMwana FA, mwimbaji wa nyimbo zijulikanazo kama Bongo Fleva ambaye kwa sasa yupo masomoni UK. Tukio hilo limepata kugusa nyoyo za watanzania wengiwaishio Moscow Russia hasa wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha Urafiki Lumumba. baada ya Blog ya jamii THE THOMCOM kunasa matukio mbalimbali yanayoonesha ni jinsi gani mashabiki wa Mziki wa Bongo fleva hata wale wasio mashabiki walivyofurahishwa na jinsi msanii huyo alivyo-fanya mambo yake jukwaani hasa alipoimba ule wimbo wake unaosikika ka ' .......mbona miguu iko wazi unan.........basi mashabiki wooote waliinua mikono juu na kushangilia kwa hamasa na msisimko kama inavyoonekana kwenye picha hapa..

hapa mwana FA akiwa ndo kaanza tuu show yake mida ya saa nane usiku ambapo mashabiki wengi tayari wako stim, aliwanyanyua mashabiki hao mara tuu alipopanda jukwaani

Tidak ada komentar:

Posting Komentar