Selasa, 03 Februari 2009

iran yatengeneza satelite yake ya kwanza mwenyewe

Iran yatengeneza satelaiti yake ya kwanza

Na mwandishi wetu Paris


Ufaransa imeelezea wasi wasi wake juu ya hatua ya Iran kutengeneza satelaiti yake ya kwanza. Msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje amesema ni vigumu kuitenganisha hatua hiyo na hofu ya Iran kutengeneza wa silaha za nuklea. Televisheni ya Iran imesema satelaiti hiyo imelengwa kwa maswala ya utafiti na mawasiliano.


Wakati huo huo maafisa wa ngazi ya ju kutoka mataifa sita makuu watakutana kujadili mzozo wa nuklea na Iran. Utakua ni mkutano wa kwanza wa aina hiyo tangu Barack Obama kuwa rais wa marekani mwezi uliopita.


Tidak ada komentar:

Posting Komentar