Selasa, 03 Februari 2009

MJUE MDAU HUYU....

THEY SAY, SHE IS A BIG ASSET, i told them they're RIGHT BY TWO LETTERS.....

naamini wadau wengi wa The THOMCOM mnashangaa sana kuwabrekisha sura hii mpya niliyoipata live katika jiji la maraha kabisa, jiji lenye baridi kuliko majiji yote, jiji la Dar es Salaam huko nchini Moscow.

Kuna mdau mmoja toka mashariki ya kati ameniomba niwachambulie toto hili la kiafrica ambalo ni gumzo kwa wadau wengi waliokutana naye.

kwanza wadau wanadai ni BIG ASSET, inawezekana wakawa hawajakosea sana, kwanza, huwezi kuamini kuwa halijui kirusi..... It means, sio mzawa, baba na mama waafrica.

Pili wadau wengi wanatupa ndoano kwa wingi mno kiasi ambacho jambo ambalo ni hatari kwa maisha ya watu. sisemi kwamba toto hilo linatisha! bali najarika kutaadharisha kuwa mambo yasije yakawa mambo.


Kuna mdau mmoja jina limehifadhiwa alinichekesha sana! mdau mwenyewe alikuwa ni mbogo, ila anajifanya msauzi. hebu sikia alivyokuwa anajigonga katika sherehe moja hapa Dar es Salaam,

Mdau: Hi
dem: hi
mdau: how're you! I m P poz
dem: Im K.....
mdau: i'm glad to meet you, where're you from
dem: I m from Guinea Bissau
mdau: great, i m fro souz....but you dont look like african
dem: why! I'm African, my parents are Africans from Guinea Bissau and I like Africans
mdau: ok, ok, I would like....(kabla hajamalizia Jamaa mmoja akatokea jina lake limehifadhiwa)

jamaa: sema bwana P Poz! mambo vipi, naona uko na mtoto unamdanganya hapo!
(kumbe demu ni demu wa mshikaji wa mmbongo mmoja anajua maneno kadhaa ya kisw.)

Mdau: yes yes. (anajitia hajui kiswahili) mwanangu unaniharibia (akamnong'oneza jamaa)
Dem: do you know Swahili?
mdau: I can hear but can not talk
dem: I heard you saying usiniharibie

Jamaa akajisikia aibu na kutoka eneo hilo. hakuonekana tena katika sherehe hiyo. camera yetu ya The THOMCOM ilinasa tukio hilo live na mwandishi wetu Petro Mwalimu.

TOA MAONI HAKO KUHUSU MDAU HUYU. THE THOMCOM SLP 123-54-86 DAR ES SALAAAM



MOSCOW 2007

Tidak ada komentar:

Posting Komentar