Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakisherekea Siku ya Wapendanao ndani ya ukumbi wa Mango Garden usiku wa kuamkia leo.
Njemba hii inaonekana kumbana vilivyo mwanadada huyu ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es salaam ambako bendi ya Akudo Impact ilikuwa ikitoa burudani katika kusherekea Siku ya Wapendanao.
Tidak ada komentar:
Posting Komentar