TIMU YA TANZANIA MOSCOW IMETINGA NUSU FAINALI BAADA YA KUISAMBARATISHA GHANA KWA MIKWAJU YA PELNATI.AKIRIPOTI TOKA VIWANJA VYA NDANI CHUO KIKUU LUMUMBA, MWANAMICHEZO WETU TABU MASUMBUKO AMERIPOTI KUWA HADI KIPENGA CHA MWISHO KINALIA, HAKUNA TIBU ILIYOKUWA IPEPATA GOLI. PELNATI 4-3 NDIZO ZILIZOIVUSHA TANZANIA KUFIKA NUSU FAINALI...
Tidak ada komentar:
Posting Komentar