Pinda afagilia ufugaji bora
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa ng`ombe chakula baada ya kufurahishwa na ufugaji bora wakati alipotembelea shamba la Mzee, Jimmy Toll (kushoto) katika eneo la Ashtown nje kidogo ya jiji la Dublin nchini Ireland juzi(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Tidak ada komentar:
Posting Komentar