Selasa, 20 Januari 2009

KUAPA KWA OBAMA KUFANYIKA SAA 12.00 SAA ZA MAREKANI. SASA NI SAA 11.10. OBAMA , MICHELLE OBAMA , BUSH NA LAURA BUSHI WAPO CAPITOL HILLS .

OBAMA, BIDEN NA FAMILIA ZAO TAYARI WAMESHAFIKA CAPITOL HILLS WAKIPATA UTARATIBU UTAKAOTUMIKA KUAPA BAADA YA DAKIKA 50 ZIJAZO. JOE BIDEN ATAKUWA WA KWANZA KUAPA KUFUATIWA NA OBAMA. WATU ZAIDI YA MILION MBILI WAPO NJE YA UKUMBI HUO NA WENGINE WASIOPUNGUA MILIONI MOJA WAPO PEMBENI MWA UKUMBI HUO WAKUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA KIHISTORIA WA KWANZA MWENYE ASILI YA KIAFRIKA KUWA RAIS WA 44 WA MAREKANI NA KAMANDA IN CHIEF OF UNITED STATES

ITS AMAIZING............

Tidak ada komentar:

Posting Komentar