Askari wa Manispaa ya Ilala wakimzonga Dereva aliyekuwa akiendesha gari namba ZNZ 69469 aliyekuwa akilalamikia kitendo cha mgambo hao kugonga gari lake kwa mkokoteni kwenye makutano ya barabara za Nyerere na Msimbazi, Dar es Salaam jana.(Picha na Charles Lucas)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar