Kumbe wabunge nao hubambia?
Na Musa Mateja
Baada ya shughuli nzito ya mafunzo ya manunuzi ya Umma, baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi ‘juzi kati’ walinaswa ‘laivu’ wakisugua visigino na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’...
Tidak ada komentar:
Posting Komentar