Anne Kilango Malecela
• Ajabu wanaopiga vita ufisadi ndiyo wenye kusakamwa
Na Walusanga Ndaki
DHORUBA inayoendelea hivi sasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni dhahiri imevutia nadhari za Watanzania wengi –- wanachama wa chama hicho, watu wanaokiunga mkono na watu wengine ambao hawahusiki na chama hicho bali wamekuwa wakifuatilia matukio hayokatika chama hicho ambacho kimeitawala nchi hii tangu mwaka 1961 hadi sasa...[i]
Tidak ada komentar:
Posting Komentar