Senin, 09 November 2009

Mtanzania Elizaberth atolewa kwenye jumba la Big Brother

Kutolewa jana kwa Mtanzania Elizaberth kwenye jumba la Big Brother kumeacha simanzi kubwa, si kwa mpenzi wake tu Kelvin, bali kwa watazamaji wengine pia, hasa Watanzania ambao wamesema kuondoka kwake kutapoozesha shindano hilo ambalo lilikuwa likifuatiliwa kwa karibu ili kuona hatma ya uhusiano wa Kelvn na Eliza.


Tidak ada komentar:

Posting Komentar